Kutokamilika kwa ukarabati wa vichwa vya gari moshi katika
karakana ya Morogoro ambalo linatoa huduma ya usafiri kwa wakazi wa jiji la Dar
es salaam ni miongoni mwa sababu ambayo imetajwa na uongozi wa kampuni ya reli
Tanzania (TRL) kusitisha huduma kuanzia leo jumatatu.
Kulingana na taarifa ambayo imetolewa na ofisi ya uhusiano
wa kampuni hiyo zimebainisha kuwa ukarabati wa vichwa hivyo utakamilika mapema
tarehe 22 na kuwasili jioni kwa lengo la kuendelea kutoa huduma ya usafiri kwa
wananchi kupitia stesheni ya ubungo maziwa hadi stesheni ya dar es salaam
No comments:
Post a Comment